utd

The Damned Utd is a biographical novel by British author David Peace, published in 2006. Depicting events in the life of English football personality Brian Clough, it is set during Clough's brief and unsuccessful 44-day spell as manager of Leeds United during 1974, with frequent flashbacks to his earlier period as manager of Derby County. Despite critical acclaim, the novel was also the subject of controversy for its perceived negative portrayal of Clough and some historical inaccuracies. It was adapted into a film called The Damned United, released in 2009.

View More On Wikipedia.org
  1. Man Utd haitofungwa leo na Man City

    Kutokana na elimu yangu ya unajimu niliyoachiwa na marehemu Sheikh Yahaya, Man Utd leo atashinda au atadroo. Hivyo punguzeni matarajio ya kuwa atafungwa hasa nyie wadau wa mikeka. Mechi itaamuliwa na mabeki zaidi na viungo kwa mbali.
  2. Niko netflix naangalia doc ya Beckham ili kupozea machungu ya Man Utd

    https://www.netflix.com/us/title/81223488?s=a&trkid=13747225&trg=cp&vlang=en&clip=81728489 Jamaa nilimu idolize sana miaka ile hadi nikawa napiga cross kama zake mpirani
  3. Tupia utabiri wako Bayern Munich Vs Man Utd, Allianz Arena leo

    leo kuna mtanange kabambe wa UCL pale Allianz Arena ni Bayern Munich Vs Man Utd. Utabiri wako upoje?
  4. Kumbukumbu: Miaka 12 iliyopita siku kama ya leo - Man Utd 8-2 Arsenal

    Hakika Sir Alex alikuwa mwalimu wa mpira. Siku kama ya leo, miaka 12 iliyopita, Sir Alex Ferguson aliiongoza Man Utd kuinyoa Arsenal 8-2. Ni pambano la kukumbukwa sana. Arsenal ilikuwa chini ya Profesa Arsene Wenger. Hii mechi uliicheki ukiwa wapi?
  5. Kati ya Leeds Utd, Everton na Leicester City, timu zipi mbili hapo zitaungana na Southampton kushuka daraja?

    Pazia la EPL linaenda kufungwa jumapili hii. Bingwa ameshapatikana ambaye ni Man City. Top 4, timu zishapatikana ambazo ni Man City, Arsenal, Newcastle United na Man Utd. Kimbembe kitakuwa kule bondeni, kwa wanaoshuka daraja. Tayari, Southampton ameshashuka daraja, bado timu mbili za kuungana...
  6. Wayne Rooney's son Kai sees himself playing for Man Utd in Premier League in 10 years

    Wayne Rooney’s son Kai says he sees himself playing in the Premier League in 10 years time - and that his biggest inspiration is his dad. The 13-year-old is currently in Man United’s academy system. He said: “In ten years hopefully I will be playing in the Premier League for Man United …that’s...
  7. Nyota wa zamani wa Yanga afungua kijiwe cha mishkaki

    Mchezaji wa zamani wa Yanga SC na Singida United Kipanya Malapa amefungua biashara ya mishikaki na kachori maeneo ya nyumbani kwao Buguruni. Kipanya anamshukuru sana mchezaji mwenzie wa Yanga Said Maulidi Kalikula kwa kumuunga mkono na kuomba wadau wengi wapite maeneo ya Buguruni Kona kupata...
  8. Kutana na Phil Jones, mchezaji asiyecheza Man Utd lakini hauzwi na hana mpango

    Philip Jones alisajiliwa na aliyekuwa kocha wa Man Utd, Sir Alex Ferguson mwaka 2011. Kipindi hiko akiwa kinda akichezea Blackburn Rovers. Alitajwa kama mchezaji bora katika nafasi ya ulinzi wa kati kwa siku za usoni. Phil Jones akaanza kuandamwa na majeraha ya mara kwa mara. Nafasi yake ya...
  9. Man UTD bila Casemiro itatoka salama kweli Emirates?

    Saa 1:30 usiku kwa masaa ya Afrika Mashariki, Arsenal itakuwa inashuka dimbani kupambana na wapinzani wao Man Utd. Man Utd itashuka dimbani bila kiungo wao mahiri Casemiro, ambaye amekuwa mhimili mkubwa sana kwao. Ikumbukwe mechi ya kwanza Man Utd alishinda 3-1 dhidi ya Arsenal pale Old...
  10. Unazungumziaje usajili wa Antony pale Man Utd baada ya mechi kadhaa sasa

    Jamaa ni kama amenunuliwa pesa nyingi na ameshindwa kuonyesha kwanini walimnunua kwa pesaa nyingi. Kwakifupi ni kama wamepigwa.
  11. Mashabiki Man UTD waiomba timu yao kutomsajili Memphis Depay

    Sababu ya kutoa maoni hayo ni kwa kuwa wana hofu yasije kujitokeza kama yaliyotokea kwa Cristiano Ronaldo ambaye aliwahi kuitumikia klabu hiyo kwa mafanikio lakini baada ya kurejea mambo hayajawa mazuri kama ilivyokuwa awali. Depay ambaye aliwahi kuichezea United mwaka 2015 hadi 2016, alifunga...
  12. D

    Man Utd walifanya kosa la Karne la Kutompa timu Conte

    Yalikuwa ni maamuzi ya wazimu kabisa. Tazama ndani ya muda mfupi tu Spars ilivyobadilika, Naamini kabisa kwa Man Utd mwaka huu Conte angeli challenge Title na Man City.
  13. Auwiiiiiii kumekuchwa narudia tena kumekuchwa EPL MAN UTD KAFA HUKO!!😂😂

    Mwanitesa united a.k.a manyua au maarafu kama man utd imekumbana na kitu kizito kichwani leo hii baada ya kulwamba magoli 2-1 hi timu ni mbovu mnoo inaleta stress, inaleta magonjwa ya moyo kila siku ni huzuni juu ya huzuni!
  14. N

    Kisa Yanga, Rivers UTD wazodolewa huko Nigeria

    Wale wababe wa yanga africans waliowapiga nje ndani wamechukua ubingwa wa nigeria na governor wa jimbo lao la Rivers state Nyesom wike kawazawadia usd 20,000 kila mchezaji sasa timbwili ni kwamba kaahidi kuwapeleka jijini madrid spain kwa ajili ya pre season na siyo mara ya kwanza kwani hata...
  15. Usajili Man Utd kulikoni?

    Zimebaki wiki mbili kabla ya pre season ya Man Utd ianze mwishoni mwa mwezi huu lakini mpaka leo hakuna usajili wowote uliofanyika. Mashabiki wa Man Utd wana matumaini makubwa sana Kocha mpya wa Man Utd, Eric Ten Hag (ETH), lakini matumaini hayo yanaweza yakayeyuka kama hatopewa/kusajiliwa kwa...
  16. Kocha Man. Utd Asaini Mkataba Kuifundisha Austria, Mashabiki Wakasirika

    Kocha wa Manchester United, Ralf Rangnick ameteuliwa kuwa Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Austria majukumu ambayo atayaanza baada ya kumalizika kwa msimu huu. Pamoja na hivyo atakuwa akiendelea na mjukumu ya kuwa mshauri wa Man United jambo ambalo mashabiki wa timu hiyo wamekasirika na wamekosoa...
  17. Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Full name: Manchester United Football Club Nickname(s): The Red Devils Founded: 1878 as Newton Heath LYR F.C | 1902 as Manchester United F.C. League: Premier League Website: ManUtd.com Ground: Old Trafford, (Capacity: 74,994) - Pitch 105m x 68m Co-Chairmen (Owners): Joel na Avram...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…