Mwanamke mmoja nchini Kenya Grace Njoki Mulei, mwenye umri wa miaka 61, ameripotiwa kutekwa nyara Alhamisi mchana akiwa katika Hospitali ya Ladnan, Eastleigh, alipokuwa akiendelea na mchakato wa kupata upasuaji wa goti.
Kwa mujibu wa familia yake, watu wasiojulikana waliotumia gari aina ya...
Wakuu,
Kama ilivyotokea Kinondoni miezi michache nyuma, Wakenya nao wameamua kuchachamaa
Soma: Video: Vurugu zazuka Kinondoni baada ya raia kugoma mwenzao kuchukuliwa na Polisi wakihofia Polisi huyo kuwa mtekaji
Huko nchini Kenya eneo la Roysambu, kumetokea sintofahamu baada ya wananchi...
Wakuu,
Kiongozi wa chama cha Wiper, Kalonzo Musyoka, amemtaka Rais William Ruto kujiuzulu kufuatia wimbi la hivi karibuni la utekwaji nyara, likiwemo tukio lililomhusisha Waziri wa Huduma za Umma, Justin Muturi, ambaye mwanawe alitekwa na baadaye kuachiliwa.
Muturi alieleza kwamba mwanawe...
Wakuu,
Wakati taifa la Kenya likiwa linazizima kuhusu matukio ya utekaji na mauaji, matukio kama hayo yameendelea kushamiri.
Siku ya leo mwili wa mtu mmoja aliyefariki umeonekana ukielea kwenye mto Ruhiru.
Mamlaka za nchini bado hazijatoa taarifa zaidi kuhusu tukio hilo.
Source...
Wakuu,
Toka tukio la utekaji wa Maria limetokea jana Januari 12, 2024, akapatikana, akatoa statement kwa ufupi na kusema ataongea vizuri leo hakuna neno lolote kutoka serikali ya Tanzania kuhusu utekaji huo uliofanyika kwa majirani zetu!
Soma Pia: Mwanaharakati Maria Sarungi adaiwa kutekwa na...
Kufuatia ‘kutekwa’ kwa mwanaharakati María Sarungi huko Nairobi, Kenya, na baadaye kupatikana kwake, televisheni ya Citizen huko Kenya ilifanya mahojiano mafupi na mume wa mwanaharakati huyo.
Bwana Tsehai kaituhumu moja kwa moja serikali ya Rais Samia pamoja na waliopo kwenye vyombo vyake vya...
Wakuu,
Kupitia ukurasa wake wa X, Fatma Karume ameweka post ya kuwashukuru wote waliyohakikisha Sarungi anakuwa salama, na kwamba ameambiwa Sarungi amerejea nyumbani kwake.
Soma Pia: Mwanaharakati Maria Sarungi adaiwa kutekwa na watu wenye silaha Nairobi, wakiwa na Noah nyeusi
Taarifa yake iliyonukuliwa na Vyombo vya Habari hii hapa
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)-Bara, Tundu Lissu ameitaka Serikali ya Kenya kuingilia kati katika madai ya kutekwa kwa mwanaharakati Maria Sarungi.
Taarifa za kutekwa kwa Maria zimesambaa leo Jumapili...
Wakuu,
Viongozi Afrika Mashariki wameingiwa na pepo gani?
Kutoka nchini Kenya mwandishi anayejulikana kwa jina la Bruce John ameripotiwa kuteswa na kulawitiwa mara baada ya kufichua uovu wa Gavana wa Mombasa.
Bruce kupitia mfululizo wa video zilizowekwa kwenye mtandao wa Tiktok alidokeza kuwa...
bruce john
mwandishi bruce john
mwandishi wa mtandaoni
ukatili kwa waandishi
ukatili wa kijinsia
utekajikenya
waandishi habari kenya
waandishi wa habari
Akizunguza Agosti 29, 2024 katika kikao na Wananchi, Kisumu Rais Ruto amesema hana taarifa ya mtu yeyote aliyeripotiwa kutekwa na vyombo vya usalama vya nchi wakati au baada ya maandamano ya hivi karibuni ya kupinga serikali kote nchini.
Aidha amehimiza wananchi ambao ndugu au marafiki zao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.