Kamati ya ulinzi na usalama mkoani Mwanza imekanusha tuhuma za kuhusika katika kutoweka kwa Katibu wa Baraza la Vijana wa Chadema (Bavicha) Mkoa wa Mwanza, Amani Manengelo ambaye inadaiwa alichukuliwa na watu waliojitambulisha ni maofisa wa polisi.
Manengelo anadaiwa kutoweka Februari 14, 2025...
Mbunge wa Iringa Mjini Jesca Msambatavangu ameiuliza Serikali kuwa imejipanga vipi kudhibiti kile alichokiita kuwa wizi wa binadamu (utekaji) nchini Tanzania. Swali hilo lilielekezwa Wizara ya Mambo ya Ndani ya nchi na lilitakiwa kujibiwa na Naibu Waziri Daniel Sillo. Lakini Spika wa Bunge Dkt...
Wanabodi,
Hatimaye Jeshi la Polisi Mkoa wa Kusini Unguja muda mchache uliopita limetoa taarifa kuhusu kifo cha Askari Haji Machano Mohamed wa kikosi cha Valantia (KVZ).
Askari huyo alitoweka tarehe 08/08/2024 wakati akihudhuria mafunzo ya uongozi katika Chuo cha Uongozi cha Jeshi la Kujenga...
Askofu Mkuu wa Kanisa la Moravian la Uamsho Tanzania, Emau Mwamakula, ametoa tahadhari kuhusu hali ya usalama nchini. Akizungumza kwenye mahojiano na Jambo TV, Mwamakula ameeleza kuwa watekaji wapo ndani ya jamii na hatari inayokua inapaswa kuchukuliwa kwa uzito mkubwa.
Amesisitiza haja ya...
Kimsingi suala la utekaji limeendelea kuwa suala linalotamkwa kila mahala. nimemsikia Waziri wa Mambo ya Ndani Masauni, nimemsikia Rais wa TLS bwana Mwakubusi na pengine maeneo kadhaa.
Kama ni kweli hali hii ipo Polisi chukueni tahadhari ili kulinda mali na watu ndani ya nchi. Msingi wa 4R za...
Hints:
Tundu Lissu anasema kuwa siku aliyopigwa risasi ndio siku Rais Magufuli alikuwa akipokea ripoti ya makinikia.
Na masaa mawili kabla ya shambulio lake alitangazia umma kuwa kuna mtu anapiga kelele sana huko nje na katika vita jeshini watu wa namna hiyo ni sawa na wasaliti hivyo kazi huwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.