Baraza la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo- CHADEMA (BAVICHA) Kanda ya Victoria limelaani na kukemea matukio ya watu kutekwa yanayoendelea kujitokeza nchini.
Akitoa kauli hiyo, tarehe 19 Februari 2025 Mwenyekiti wa BAVICHA Kanda, Fred Michael akiwa kwenye kikao cha baraza hilo Jimbo...
Kamati ya ulinzi na usalama mkoani Mwanza imekanusha tuhuma za kuhusika katika kutoweka kwa Katibu wa Baraza la Vijana wa Chadema (Bavicha) Mkoa wa Mwanza, Amani Manengelo ambaye inadaiwa alichukuliwa na watu waliojitambulisha ni maofisa wa polisi.
Manengelo anadaiwa kutoweka Februari 14, 2025...
Amani Manengelo, Katibu wa BAVICHA Mkoa wa Mwanza, ameripotiwa kutekwa na kupotea tangu tarehe 14.02.2025 huko Misungwi, Mwanza.
Ameandika Martin Maranja Masese
Amani Manengelo ni kiongozi wa vijana wa CHADEMA mkoa wa Mwanza. Katibu wa BAVICHA Mkoa - Mwanza.
Nimepata habari za kutekwa na...
Amani iwe nanyi wapendwa
Wale watoto waliotekwa hatimaye wamepatikana lakini watekaji wameuliwa.
=====
Wanafunzi wawili wa Shule ya Blessing Model School waliokuwa wametekwa na watu wasiojulikana Februari 5, 2025 jijini Mwanza wamepatikana huku watekaji wakipigwa risasi na kupoteza maisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.