Leo ahsubuhi, mnamo saa mbili Polisi wakiwa katika mavazi ya kiraia walifika nyumbani kwa Dkt, Slaa kwa nia ya kumchukua.
Dkt Slaa ambaye wakati huo alikuwa anasikiliza maoni ya Watanzania kupitia Club House akatoa taarifa mapema kwa baadhi ya Wanadiaspora, ambapo kelele zikaanza kupigwa...
Mzee wa Upako, Mchungaji Anthony Lusekelo amesema “Sijajua nani anafanya mambo ya kuteka watu, wengine wanahusishwa na Vyombo vya Dola. Kwa taarifa katika Biblia, Daudi alimshauri sana Selemanj kuwa watu wote wanaoathiri utulivu wa nchi uwe unaua. Wa kwanza kuuawa nikifa tu awe Yohab.”...
Baada ya ukimya wa muda mrefu, hatimaye Edigar Mwakabela maarufu kama Sativa ameweka ujumbe unaotoa dokezo kuwa Jeshi la Polisi ndilo lilihusika kumteka wakiwa na lengo la kumuua.
Amesema ujumbe huu utumike kama rejea rasmi ya kuwashtaki polisi hata ikitokea siku moja hayupo Duniani.
Stori ya...
Wengi tuliamini Jeshi la Polisi linahusika Kuteka na kutesa watu hasa Wenye kukosoa serikali katika Mambo mbalimbali. Lakini Jana IGP CAMILIUS WAMBURA akiwa Bariadi ameta.ka Wazi kabisa Polisi wake hawahusiki. Na ametoa mifano ya Mtoto wa Mbeya aliyetekwa Kwa maelekezo ya mama yake ili apate...