Hata wakati wa Mtume, mateso yalikuwa makubwa lkn uislam umeenea licha ya mateso. Mfano
1. Bilal bin Rabah (R.A)
Aina ya Mateso:
Kupigwa vibaya.
Kulazwa kwenye mchanga wa moto wa jangwani huku jiwe kubwa likiwekwa kwenye kifua chake.
Kupigwa mijeledi.
Aliyemtesa:
Umayyah bin Khalaf...
Kama Una kiingereza kidogo hebu pata points mbili TATU hapo, majirani wameshaanza kutuTolea case study....
Hapa wanamkaanga Ruto, huku Sisi tunampigia Makofi Samia kwa Utekaji.
Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) limelaani matukio ya utekaji na mauaji yanayoendelea nchini na kuvitaka vyombo vya dola kutimiza wajibu wake ipasavyo, ili kurudisha heshima ya Tanzania iliyozoeleka ya kuwa ni kisiwa cha amani.
Mbali na hilo, maaskofu hao wamesema viongozi waliopo...
Katika Mkutano wake na Mchifu leo Rais Samia atoa wito kwa machifu wawaelimishe Wanasiaa kuwa vyeo havipitani kwa kuua watu wala kutumia viongo vyao.
Akiongeza kuwa uonozi unatoka kwa Mungu.
====
Hakuna kabila wala Mkoa hata mmoja ndani ya Tanzania hii unaokubaliana na vitendo vya kuua...
Matukio ya watu kutoweka katika mazingira yenye kutatanisha huku askari polisi wakihusishwa kuwashikilia yanaendelea kushika kasi nchini.
Taarifa mpya zinadai kuwa vijana wanne wilayani Temeke, Dar es Salaam na mkazi mmoja mkoani Geita wametoweka na jitihada za kuwatafuta hazijazaa matunda kwa...
Mwanza. Daniel Sayi (48) mfanyabiashara wa ng’ombe wilayani Geita mkoani hapa, anadaiwa kuchukuliwa na watu wasiojulikana akiwa nyumbani kwake Kitongoji cha Kiomboi, Kijiji cha Ihilika, Kata ya Nyarugusu mkoani Geita.
Sayi inadaiwa alichukuliwa Mei 13, 2024 saa 12 jioni baada ya watu wanne...
Wengi tuliamini Jeshi la Polisi linahusika Kuteka na kutesa watu hasa Wenye kukosoa serikali katika Mambo mbalimbali. Lakini Jana IGP CAMILIUS WAMBURA akiwa Bariadi ameta.ka Wazi kabisa Polisi wake hawahusiki. Na ametoa mifano ya Mtoto wa Mbeya aliyetekwa Kwa maelekezo ya mama yake ili apate...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.