utekaji wa polisi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ileje

    Amkeni kuna wizi wa Watoto na Utekaji wa Polisi

    Watanzania tusipumbazwe na utetezi wa polisi kuhusu utekaji, upo! Ni hivi wizi wa watoto umekuwepo kutoka zama za kale. Wizi wa watoto hufanywa na wanawake ambao hawajabahatika kupata watoto kwa hiyo huamua kuiba ili angalau waonekane wana watoto. Aidha kuna wanawake wenye watoto wa kike na...
  2. mwanamwana

    Dar: Vijana wanne wadaiwa kutekwa wakiwa kwenye party Juni 20, 2024, hawajulikani walipo mpaka sasa

    Matukio ya watu kutoweka katika mazingira yenye kutatanisha huku askari polisi wakihusishwa kuwashikilia yanaendelea kushika kasi nchini. Taarifa mpya zinadai kuwa vijana wanne wilayani Temeke, Dar es Salaam na mkazi mmoja mkoani Geita wametoweka na jitihada za kuwatafuta hazijazaa matunda kwa...
Back
Top Bottom