Watanzania tusipumbazwe na utetezi wa polisi kuhusu utekaji, upo!
Ni hivi wizi wa watoto umekuwepo kutoka zama za kale. Wizi wa watoto hufanywa na wanawake ambao hawajabahatika kupata watoto kwa hiyo huamua kuiba ili angalau waonekane wana watoto. Aidha kuna wanawake wenye watoto wa kike na...