utekaji wa sativa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. mwanamwana

    DC Ubungo akwepa kujibu swali la utekaji wa Sativa, asema “No Comment”

    Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Hassan Bomboko amekwepa kujibu swali kuhusu nani aliyehusika katika madai ya utekaji wa Edgar Mwakabela, maarufu Sativa. Bomboka alikwepa swali hilo akiwa katika kipindi cha Medani za siasa cha runinga ya Star TV, huku akieleza kuwa wajibu wa Serikali ni kulinda raia...
  2. Bila bila

    Kwanini UVCCM hamkemei matukio ya watu kutekwa?

    Matukio yote ambayo Vijana wanatekwa hasa Wenye mlengo wa kukosoa serikali, UVCCM haijawahi kutoa tamko la kukemea hata kinafiki tu. Tukio la karibuni zaidi ni la kijana Edgar Mwakabela @SATIVA ambaye alitekwa Dar na kutupwa Katavi baada ya kupigwa risasi ya kichwa lakini Mungu mkubwa ikamvunja...
  3. 4

    Kunahitajika kauli moja ya Watanzania kuhusu matukio ya utekaji na kuumizwa

    Wakuu amani ya Bwana ikawe juu yenu na Mungu amebariki. Tanzania bila utekaji na kuumizwa inawezekana . Ipo vedio hivi ya kijana ambae inaonekana anajulikana kwa jina SATIVA ,simfahamu ila yupo na dam kama sie, Alitekwa 23/6/ 2024 kwa mjibu wa taalifa za hapa na pale pitia mitandao ya...
Back
Top Bottom