Hakuna haja ya kuwa na Bunge linalokataa kujadili Masahibu yanayo wakumba watoto wetu, kaka zetu na ndugu zetu kwa sababu tuu hoja imeletwa Bungeni na Mbunge wa upinzani Aida Kenan wa CHADEMA. Hii ni high level ya stupidity and contempt kwa wananchi hasa kipindi hiki wanalizwa na yanayo tokea...
Yaani polisi wa Tanzania nawashangaa sana, ripoti ya CAG kila mwaka inataja wezi na wabadhirifu wa mali za umma ambao wengi wao ni watumishi wa serikali lakini hata siku moja polisi wetu hawa wenye ueledi huwezi ona wanaenda kushika wezi na hao mafisadi.
Wizi na ufisadi wa mabilioni katika taifa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.