Watoto wawili wanafunzi wa Shule ya Blessing Model School iliyoko Nyasaka Manispaa ya Ilemela mkoani Mwanza wametekwa na watu wasiojulikana huku wengine wane wakinusurika.
Akitoa taarifa hiyo kwa waandishi wa habari Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Wilbroad Mutafungwa amesema tukio hilo...
Hakuna haja ya kuwa na Bunge linalokataa kujadili Masahibu yanayo wakumba watoto wetu, kaka zetu na ndugu zetu kwa sababu tuu hoja imeletwa Bungeni na Mbunge wa upinzani Aida Kenan wa CHADEMA. Hii ni high level ya stupidity and contempt kwa wananchi hasa kipindi hiki wanalizwa na yanayo tokea...
Kule Bagamoyo shule ya Majengo na Jitegemee, watoto jumla watano wametekwa.
Kule makurunge watoto sita wametekwa, waandishi wa habari mko wapi, Wana usalama mko wapi jamani.
Wizara husika mko wapi? Shime shime Watanzania, leo kuna shule huko Bagamoyo watoto wamegoma kwenda shule na msimamo wa...
Jeshi la polisi lina mapungufu mengi ambayo sina haja ya kuyataja. Upelelezi huwa unakwenda taratibu lalakini wahalifu watakamatwa tu.
Sasa kwa wewe mpumbavu uliyejihusisha / unayepanga kujihisisha na ujinga huu unaoendelea wa kuiba na kuteka watoto nikwambie kuwa utafikiwa tu.
Tena hata...
Salaam wakuu,
Kuna video nimekutana nayo ikimuonesha Mwenyekiti wa Kijiji cha Kwa Zoka, Vigwaza akielezea tukio la utekaji lililotokea Mlandizi.
Mwenyekiti huyo amesikika akimpa maelekezo Mwalimu Mkuu ambaye hajafahamika jina akimtaka kuitisha kikao na wazazi kwa ajili ya kuwaeleza...
Kumekuwa na hali ya sintofahamu inayoendelea Kwa wakazi wa Kigamboni na Maeneo jirani ya kijichi, mbagala kuu na Mikwambe baada ya matukio ya kutekwa kwa watoto wadogo wa shule za msingi na secondary hali inayopelekea wazazi wengi wakazi wa maeneo hayo kuhofia usalama wa watoto wao pindi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.