Watu wanne wamenusurika kifo baada ya kupigwa na kukatwa mapanga pamoja na gari waliyokuwa wakiitumia aina ya Raum kuchomwa moto katika Wilaya ya Mbulu Mkoani Manyara kwa kudhaniwa kuwa ni wezi wa kuiba Watoto baada ya kumpa pipi Mtoto aliyekuwa akipita pembeni ya gari yao waliyokuwa wanaitumia...
https://www.youtube.com/watch?v=3S9QuDpJOx0
Waziri wa Mambo ya Ndani, Mhandisi Hamad Masauni amesema taarifa za kuwa kuna matukio ya utekaji hasa kwa Watoto Nchini ni sehemu ya kuzua taharuki ambayo yamekuwa yakifanywa na watu wachache kwa manufaa yao binafsi na kuwa Jeshi la Polisi...
Jeshi la Polisi mkoani Pwani linawashikilia watu wanne kwa tuhuma za kurekodi na kusambaza taarifa za uongo kwenye mitandao ya kijamii kuhusu gari aina ya Toyota Noah inayotumika kuwateka watoto katika maeneo mbalimbali.
Kuhusu utekaji huo soma > Utekaji wa watoto: Gari yadaiwa kukamatwa ikiwa...
Ripoti ya takwimu za uhalifu na usalama barabarani ya mwaka 2023 kutoka jeshi la polisi Tanzania kupitia ofisi ya takwimu {NBS}, inasema kuwa mikoa takriban 40 ya kipolisi nchini imesajili jumla ya matukio 73 ya utekaji watoto wadogo, hata hivyo kati ya idadi ya mikoa hiyo mikoa 7 ya kanda ya...
Salaam!
Ndugu zangu wanajeiefu poleni na majukumu mbalimbali ya kiuzalishaji Mali.
Kuna matukio yanaendelea kwa kasi sana yanayoonesha utekaji wa watoto tena yakifanywa na watoto wadogo mno ambao wanatumwa na hao watu wenye nia ovu dhidi ya watoto.
Shime ndugu zangu,shime vyombo vya habari...
Jeshi la Polisi mkoani Shinyanga linamshikilia binti mwenye umri wa miaka 16, aliyefahamika kwa jina la Maduki Sabuni mkazi wa Imalanguzo Ushirombo mkoani Geita kwa tuhuma za wizi wa mtoto wa miezi 9 mkazi wa Manzese Manispaa ya Kahama.
Kamanda wa Polisi mkoani humo, SACP. Janeth Magomi amesema...
Utekaji na kupotea kwa watoto kunakotokea kwa sasa kuna viashiria vya mikakati ya kundi la watu wenye nia ya kuondoa utawala fulani madarakani.
Hali kama hii mara nyingi umalizika kwa kuondolewa waziri au IGP ofisini. Si kwa sababu siyo wachapa kazi bali ni kurejesha imani ya dola kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.