Kamati ya Siasa Mkoa wa Kilimanjaro imeridhishwa na utekelezaji wa mradi wa maji unaosimamiwa na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mjini Moshi MUWSA
Mradi huo unaogharimu Tshs; Milioni 787 unalenga kuhudumia wananchi zaidi ya 10,500 walioko kwenye Kata ya Marangu Mashariki...
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wazazi Taifa Ndg. Fadhil Maganya, amedai kutoridhishwa na utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mbeya, inayogharimu zaidi ya bilioni nne iliyojengwa kata ya Busale wilayani Kyela,na kuwataka Mkuu wa wilaya na Mkurugenzi...
Benki ya Dunia imeahidi kutoa kiasi cha takribani Dola za Marekani milioni 300 kwa ajili ya kusaidia Awamu ya Tatu ya Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini nchini chini ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii Tanzania ( @tasaf.tanzania ) ambayo inatajiwa kutekelezwa baada ya kukamilika kwa Awamu ya Pili ya...
Mtendaji wa kijiji cha Sakawa wilayani Rorya #Tanzania Fredrick Nyobumbo amelazimika kuhama chini ya ulinzi wa polisi baada ya vitisho kutoka kwa jamii!
Fredrick anatuhumiwa kupanga wizi wa kura katika kijiji hicho na hadi leo hakuna aliyetangazwa mshindi! Yaani @ccm_tanzania ijiandae kwa...
Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA), Mkama Bwire amesema wanakabiliana na changamoto ya maji taka katika eneo la Kariakoo kutokana na miundombinu iliyopo sasa kuelemewa na kushindwa kuendana na uhitaji.
Kutokana na changamoto hiyo...
Salaam,
Juzi kati, nikiwa naperuzi miradi iliyotekelezwa na marais wa africa katika nchi zao, nimebaini Rais Samia na hayati Magufuli ni marais waliotekeleza miradi mingi zaidi kuliko Marais wote Afrika.
Hongera Rais Samia, wewe ni kiongozi bora wala usitishwe na kelele za wanaokubeza...
Mbunge wa Viti Maalum Vijana Taifa, Mhe. Juliana Didas Masaburi katika kipindi cha Maswali na Majibu Bungeni Jijini Dodoma amehoji Wizara ya Nishati kuhusu utekelezaji wa Miradi ya REA III awamu ya Pili Katika Mkoa wa Mara
Maswali yote yalijibiwa na Naibu Waziri Wizara ya Nishati Mhe. Wakili...
MBUNGE NICHOLAUS NGASSA: "MKANDARASI ZINGATIA RATIBA YA UTEKELEZAJI WA MRADI" - JIMBO LA IGUNGA
Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe. Nicholaus George Ngassa, amemtaka Mkandarasi wa Mradi wa Usambazaji wa Maji ya Ziwa Victoria kwenye Vijiji vya Kata za Mwamashiga, Mbutu, Isakamaliwa, Kining'inila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.