utekwaji wa wananchi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. incredible terminator

    Video ya mfanyabiashara alienusurika kutekwa kwa mtazamo wa kiuchambuzi Inafikirisha sana

    Kwanza kabisa Video hii tukiiangalia kwa jicho la uchambuzi na kiudadisi kuna vitu vinatia wasiwasi, pengine tukio hilo limetengenezwa kimkakati kwa ajili ya masrahi ya watu flani. Aina mtu aliekuwa anataka kutwekwa, sio mwanaharakati wala mlengwa wa kisiasa, hii inamaanisha tukio hilo...
  2. kagoshima

    Pre GE2025 Ni wakati wa vyama pinzani kufanya mandamano ya amani kupinga utekaji wa wafuasi wao unaoendelea Nchini

    Kuelekea chaguzi wa serikali za mitaa 2024 na uchaguzi mkuu 2025 kuna utekaji wa raia wanaounga mkono vyama pinzani wengine wakipotezwa kabisa. Lengo linaweza kuwa kuwatisha raia kujihusisha na siasa au kuogopa kuikosoa serikali. Moja ya njia ya strategy ya kukomesha huu ukatili ni vyama...
Back
Top Bottom