Kwanza kabisa Video hii tukiiangalia kwa jicho la uchambuzi na kiudadisi kuna vitu vinatia wasiwasi, pengine tukio hilo limetengenezwa kimkakati kwa ajili ya masrahi ya watu flani.
Aina mtu aliekuwa anataka kutwekwa, sio mwanaharakati wala mlengwa wa kisiasa, hii inamaanisha tukio hilo...