Ndugu zangu Watanzania,
Sikatai na wala sipingi moja kwa moja kuwa changamoto hazipo hapa Nchini. Lakini ni ukweli ulio wa wazi kuwa sote tunaona na kushuhudia namna Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Samia Suluhu Hasssan anavyo pambana usiku na mchana kutatua na kumaliza kero...