Nashauri Serikali iunde kitengo maalumu cha kutathmini utendaji wa taasisi za umma na kupokea malalamiko pamoja na maoni ya wananchi. Kitengo hiki kiwe na ofisi hadi ngazi ya wilaya na kiwe na mifumo ya kidijitali itakayowawezesha wananchi kuwasilisha kero zao na kufuatilia majibu kwa uwazi...