Labda wawe wamefuta kwa vile wao ndiyo custodians wa mitandao nchini. Ila Bodi na Menejimenti ya TCRA ilimpongeza Waziri wao wa Zamani Nape Nauye baada ya kutumbuliwa juzi sambamba na TTCL, UCSAF na Posta.
Pongezi kwa kazi nzuri kwa waliotenguliwa ni kama kashfa kwa Mamlaka ya Uteuzi...
Jumapili wakati Nappe akigawa Tuzo Mlimani City na mkewe akiwa kitandani anamsubiri arudi nyumbani, alitenguliwa na hakuna sababu zilizotolewa na Rais kwa utenguzi huo.
Mashirika aliyofanya Nape akiwa kama waziri yametoa pongezi na kujifanya wanajua sababu wakati rais pekee ndiyo anajua sababu...
Mambo mawili niliyo amini baada ya taarifa ya utumbuzi wa Nape Nnauye na wengine ni
1. CCM itaendelea kuitawala hii nchi miaka tele ijayo.
2. Yanga itaendelea kutawala soka la hii nchi
Kwanini?
Watu wamesahau kuwa uteuzi na utenguzi ni maigizo ya CCM miongo na miongo, Nape huyu na January...
Huu uzi niwakuwachana wana JamiiForums haswa wale ndakindaki wa jukwaa la siasa.
Niseme tu ukweli kushadadia kuteuliwa ama kutenguliwa kwa baadhi ya watu, humu ndani imekuwa ndio mada zinazo tambaa kwasasa. Naweza kuita ni ujinga, upuuzi ama ni uzwazwa.
jukwaa hili halifai kuendekeza mijadala...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.