Aliyekuwa Waziri wa Afya ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Tanga, Ummy Mwalimu, amemshukuru Rais Dkt Samia Suluhu Hassan, kwa kumuamini na kumpa heshima kubwa ya kuwa, Waziri wake kwa kipindi cha miaka mitatu na nusu akiitumikia nafasi ya Waziri wa TAMISEMI na baadaye Wizara ya Afya huku akisema...