Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Wenyeviti wa Bodi mbalimbali. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka walioteuliwa ni kama ifuatavyo:
i. Bw. David Chimbi ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya...
Aliyekuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Prof Mussa Assad ameeleza namna alivyopata taarifa za kutenguliwa kwake katika nafasi hiyo.
“Utenguzi wangu kuna mtu alinipigia simu siku moja kabla kuhusu utenguzi wangu, na saa moja kabla ya taarifa kutoka nikapigiwa simu tena...
Wakuu,
Huyu ni kiongozi wa pili kutoka CCM ambaye anatoa kauli tatanishi kuhusu kupoteza watu pamoja na watu wasiyojulikana, lakini wanaishia kutenguliwa na kuonywa tu na hakuna hatua nyingine inachukuliwa dhidi yao.
Wa kwanza alikuwa Mwenyekiti wa UVCCM Kagera, akasema wakiwapoteza watu...
Wakuu wakati tunavuta mashuka nimeona nipite kidogo....
Wenye nchi wameshatujua, tunapenda umbea kuliko hata uhai, wanapiga mziki ule ule ambao tumezoea kuusikia na sisi bila hiyana hao rumba tunalisakata.
Pia soma: Uteuzi: Lukuvi, Kabudi warejeshwa Baraza la Mawaziri, Ummy aondolewa Wizara ya...
Ninaamini una uwezo na msikivu. Mtego wako mkubwa katika sekta ya afya uko kwenye kusimamia MTBA (NHIF). Fanya haya utakuja nishukuru baadaye:-
1. Tehama haijawekwa vizuri - ili ku-control madai, collusion kati ya watoa huduma na NHIF staff; madai yalitakiwa yawe processed 80% electronically na...
Uteuzi uliofanywa na Mhe. Rais SSH tatehe 14 Agosti 2024 umemtema nje bi Ummy Mwalimu kutoka Wizara ya Afya.
Kutokana na unyeti wa Wizara ya Afya, umuhimu wake ni mkubwa kwenye jamii. Pamoja na kusimamia sera ya Afya nchini lakini ndiyo wizara inayosimamia taaluma ya wahudumu wa Afya.
Je tuna...
Nimepenyezewa habari kutoka chanzo cha kuaminika kabisa kabisa kwamba usiku wa leo, kuanzia mida ya saa 3 usiku kuna mkeka utatoka huo mkea haukuwa kwenye mpango wa Samia ila ni maalumu kwa ajili ya kudivert habari za CHADEMA
Mkeka umeanza kusukwa tangu juzi baada ya seke seke la Mbeya na...
Wanajamvi,
Moja kwa moja kwenye maudhui.
Kamatakamata ya Viongozi wakuu na makada wa CHADEMA, imemletea mfadhaiko mkubwa mkuu wa nchi, kutokana na Matokeo yake watu walivyopokea Tanzania hasa Vyombo vya Habari, Mitandao ya Kijamii na Jumuiya ya Kimataifa.
Kwa sasa habari ya CHADEMA ndiyo...
Aliyekuwa mkurugemzi mkuu NHIF , Bernard konga kamaliza muda wake na nafasi yake amekaimu Grace Temba .
Nini tutegemee katika huu mfuko wa Taifa ambao Changamoto haizawahi kuisha
Na tushauri nini kwa Uongozi mpya au tunaokwenda kupata ?
QUUR-JUWAAN . Nikimnukuu Magoma, Mwanachama wa Yanga aliyekwenda mahakamani kuishtaki Bodi ya wadhamini wa Dar Young African, aliulizwa haogopi Ju-Ju- Man akajibu hapo ndio wasijaribu, kwasababu atasoma Dua inayoitwa QUUR-JUWAAN ambayo itamkuta aliyetenda, aliyehadithia, aliyechangia hoja...
Kawaida ninavyofahamu mimi mamlaka ya uteuzi ina weza teua na kutengua bila kuhojiwa, nilitegemea vijana hawa kwa maana ya January Makamba, Nape Nnauye na Byabato wamshukuru Rais Samia kwa dhamana walizotumikia, lakini naona kimya.
Je, hawaamini kama cheo ni dhamana?
CEO mpya TISS hajapitisha hata week mbili tunaona haya tuliyaona.
Safi sana anaijua kazi yake na anaonekana ana uchungu na Taifa hili.
Rai yangu haya mambo yasiishie juu kwa juu wapigaji wote wa pesa za umma wawajibishwe.
Pia soma: Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa...
Chunga sana ulimi wako.
Mdomo huumba
Maneno yakishatamkwa
hayarudi tena mdomoni.
Ulimi hauna mfupa
Mdomo uliponza kichwa.
Mdomo kiwanda cha maneno
Pia soma: Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari...
Safi sana fagio linaendelea kupita👇👇
---
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa viongozi mbalimbali. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, viongozi waliotenguliwa ni kama ifuatavyo:-
i. B.i...
Naandika haya nikiwa na uchungu mkubwa, sina hata muda wa salamu maana tutachoshana tu.
Nilikua nikisikia maafisa wa serikali wanashauri vijana tujiajiri, nilidhani ni wanafiki, kumbe wanapitia magumu sana na hawatamani wengine yatukute, ila sasa walishakua walemavu wa fikra hawana kimbilio...
Wakuu,
Mambo ni moto, Nape kaondoa kaunti yake X kama TCRA :KEKLaugh: :KEKLaugh: :KEKLaugh:. Jamaa kavurugwa mpaka ameamua kuzira?
Pia soma: Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari
Kweli madaraka matamu...
Nimeona Taarifa Ya Utenguzi wa Mkurugenzi wa Mafia.
Kiukweli Nimefarijika sana na Nimeona Kweli haki imetendeka na Imeonekana Ikitendeka..
Ni wazi kuwa Nchi imepata Viongozi waadilifu Na hasa Miongoni mwao Napenda kumtaja bila kuogopa na nikitembea Kifua Mbele Dkt. Gwajima D.
Kiukweli kabisa...
Mwigulu Nchemba ameandika kwamba alifahamu kwamba mwaka 2024 Mh. Rais atachafuliwa mitandaoni. Ameeleza mambo mengi aliyofanya Mhe. Rais, Najiuli amefahamu vipi uwepo wa wachafuzi 2024? na hao aliowasikia ni kina nani?
Ikumbukwe nyuma ya harakati za uchaguzi wapo watu wameanza kuona wanaweza...
Nipo zangu nimegoma kulala nasubiri uteuzi na utenguzi. Mimi nawakiliisha Mawazri wengi waliokata tamaa na waliopoteza focus kwa sababu awajui mteuaji anaambiwa nini na nani.
Nitaendelea kulala mchana na kukesha usiku hadi mkeka wa mawaziri utoke. Endapo utatoka na jina langu likawepo si...