uteuzi na utenguzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Cute Wife

    Rais Samia afanya Uteuzi, Uhamisho na Mabadiliko ya Viongozi Mbalimbali Januari 24, 2025

    Wakuu, Pia soma: Uteuzi: Rais Samia, afanya uteuzi wa Makamishna wa Jeshi la Polisi Desemba 9, 2024
  2. Cute Wife

    Uteuzi & Kumpangia Balozi kituo cha kazi: Stephen Simbachawene apangiwa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Brazil

    Wakuu, TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Majaji wa Mahakama ya Rufani, Wenyeviti wa Bodi na kumpangia kituo cha kazi Balozi. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses...
  3. Mkalukungone mwamba

    Uteuzi: Rais Samia, afanya uteuzi wa Makamishna wa Jeshi la Polisi Desemba 9, 2024

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa Makamishna wa Jeshi la Polisi. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, uteuzi huo ni kama ifuatavyo: Soma Pia: Rais Samia afanya uteuzi: Masauni aondolewa...
  4. Cute Wife

    UTEUZI: Rais Samia afanya uteuzi wa Wenyeviti wa Bodi za TTCL, ATCL, NARCO, POSTA, UCSAF na TEMDO | Septemba 25, 2024

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Wenyeviti wa Bodi mbalimbali. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka walioteuliwa ni kama ifuatavyo: i. Bw. David Chimbi ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya...
  5. Pascal Mayalla

    Hizi pangua pangua za Rais Samia kwa wateule wake kila uchao zote zina maslahi kwa taifa au kuna flip-flops?

    Wanabodi, Kama kawa kila nipatapo fursa huja na makala zangu elimishi za Kwa Maslahi ya Taifa ambazo huwa na maswali yakifuatiwa na hoja halafu jibu utatoa wewe mwenyewe. Swali la leo ni kuhusu hizi panga pangua au pangua pangua za Rais Samia kwa wateule wake kila uchao, je zote zina maslahi...
  6. I

    Pre GE2025 Uteuzi na Utenguzi unaofanywa na Samia ni mbwembwe tu za Madaraka

    Tumeona kila mara anateua na kutengua! Wale wale aliowatengua anawateua tena na kuwatengua tena. Kwa kiingereza ana recycle watu wake bila kuwapa elimu wala semina elekezi. Anachofanya Samia ni kuonyesha nguvu na madaraka aliyonayo kikatiba. Madaraka na nguvu za Rais ndicho anaonyesha. Kama...
  7. N

    Tetesi: Nasikia fagio laelekezwa kwa Amos Makalla

    Nasikia fagio la Mama laelekezwa kwa Amos Makalla. Inasemekana ni askari mtiifu wa Msoga na aliwekwa na Mzee Kinana. Pia soma: Abdulrahman Kinana, Makamu Mwenyekiti (CCM) Ajiuzulu, Rais Samia Suluhu Aridhia Yajaaayo....
  8. S

    Pre GE2025 Kumbe Nape na Makamba ni trailer tu, lengo hasa ni waleee!

    Ili umpe kipigo cha mbwa koko mtoto wa kambo pasipo lawama, basi anza kwa kumfinya mwanao wa kumzaa. Anapoanza kulia mtoto pendwa ndipo unanza kushusha kipondo cha kuvunja mikono kwa mtoto wa kambo. Majirani wanaotazama kinachoendelea watajua unagawa adhabu kwa wote bila upendeleo, lkn kumbe...
  9. Fantastic Beast

    Anayefuatia ni Kinana, uteuzi wa Ridhiwani ni kama kupooza moto kidogo

    Bada ya kuwaondoa January na Nape kwenye baraza lake la mawaziri, Rais Samia anaweza kufanya mabadiliko zaidi katika serikali na chama tawala kabla ya uchaguzi ujao. Makamu Mwenyekiti wa CCM, Abdulrahman Kinana anaweza kuwa mtu wa juu anayefuata kukihama chama tawala. Kinana, January na Nape...
  10. britanicca

    Suala la Mkuu wa Nchi kutoa mkeka nusu nusu unaohusu uteuzi wa nafasi za Uwaziri na Manaibu lipo vipi?

    Habari ndugu zetu! Hivi kwa hali ya uongozi ilivyo katika nchi pendwa yetu! Je, ni kosa Mkuu wa nchi akatengua na kuteua kwa siku mbili au Tatu mfululizo kwenye nafasi za uwaziri na unaibu? Mfano unasikia leo au Kesho anatoa ka mkeka kengine ka mawaziri wengine kuteuliwa na kutenguliwa? Au...
  11. KENZY

    Kujadili nani kateuliwa na nani katenguliwa hakuna tija, tuangalie ni namna gani idara hizo zinaweza kuleta tija

    Huu uzi niwakuwachana wana JamiiForums haswa wale ndakindaki wa jukwaa la siasa. Niseme tu ukweli kushadadia kuteuliwa ama kutenguliwa kwa baadhi ya watu, humu ndani imekuwa ndio mada zinazo tambaa kwasasa. Naweza kuita ni ujinga, upuuzi ama ni uzwazwa. jukwaa hili halifai kuendekeza mijadala...
  12. Cute Wife

    Pre GE2025 Pamoja na maboko yote aliyofanya Makonda bado anadunda. Je, amerudi kuwa lastborn wa taifa hata afanye nini hagusiki?

    Wakuu, Tumeona mkeka wa mama, kamla kichwa Byabato, Makamba na Nape, huku baadhi ya watu wakikisia ni matukio yaliyotokea hivi karibuni ndio yamewaondoa kwenye nafasi walizokuwa wakikalia. Pia soma: Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari...
  13. kacnia

    Pre GE2025 Ajira na majanga yake kwenye siasa, mwenye sikio na asikie

    Naandika haya nikiwa na uchungu mkubwa, sina hata muda wa salamu maana tutachoshana tu. Nilikua nikisikia maafisa wa serikali wanashauri vijana tujiajiri, nilidhani ni wanafiki, kumbe wanapitia magumu sana na hawatamani wengine yatukute, ila sasa walishakua walemavu wa fikra hawana kimbilio...
  14. Cute Wife

    Pre GE2025 Baada ya kutenguliwa Nape kaamua mazima na kufuta account yake X (Twitter)?

    Wakuu, Mambo ni moto, Nape kaondoa kaunti yake X kama TCRA :KEKLaugh: :KEKLaugh: :KEKLaugh:. Jamaa kavurugwa mpaka ameamua kuzira? Pia soma: Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Kweli madaraka matamu...
  15. Cute Wife

    Pre GE2025 Unafikiri nini kimewaondoa Makamba na Nape kwenye Uwaziri?

    Wakuu, Usiku umekuwa mchungu kwa Nape na Januari Makamba, tena Nape katenguliwa akiwa akiwa kwenye warsha! Pale unaenda sehemu kama waziri unaondoka mbunge! Makamba naye alitoa boko lake, huenda hiki ndio kimemuondoa: Kauli ya January Makamba ''hata kama hatumkubali Samia ni wetu'', ina...
  16. ChoiceVariable

    Pre GE2025 Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

    My Take Cheo ni dhamana, maisha yaendelee 🙏🙏👇👇 === Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi, utenguzi na uhamisho wa viongozi mbalimbali. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt, Moses Kasiluka, viongozi hao ni kama...
  17. Kingsmann

    Uteuzi June 22, 2024: Rais samia ameteua na kutengua viongozi mbalimbali

    TAARIFA KWA VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, viongozi walioteuliwa ni kama ifuatavyo:- 1. Amemteua Dkt. Ashura Abdul Katunzi...
  18. L

    Serikali Kuja na Mfumo Maalumu wa Kusaidia mamlaka ya Uteuzi kufanya uteuzi kwa Usahihi

    Ndugu zangu Watanzania, Msajili wa Hazina Mheshimiwa Nehemia Mchechu, amesema ya kuwa wapo katika hatua za Mwisho katika kukamilisha mfumo maalumu utakaosaidia na kuiwezesha mamlaka ya uteuzi kufanya maamuzi sahihi katika uteuzi wa viongozi mbalimbali wa mashirika na taasisi za Umma. Ameyasema...
  19. Cute Wife

    Mkuu wa Mkoa Simiyu atenguliwa, Kenan Kihongosi achukua nafasi hiyo

    Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Viongozi kama ifuatavyo: 1. Amemteua Bw. Kenan Laban Kihongosi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu. Kabla ya uteuzi, Bw. Kihongosi alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Momba. Bw. Kihongosi anachukua nafasi ya Dkt. Yahaya...
  20. J

    Jenerali Ulimwengu: Siyo kila anayetangazwa kateuliwa na Rais, wengine ni Wateule wa "Influencers" Rais anaweka saini tu!

    Mzee Jenerali Ulimwengu anasema tukiamini Rais ndiye anateua Wakuu wa Mikoa wote, Wakuu wa wilaya wote, Wakurugenzi wote tutakuwa tunajidanganya tu kwa Sababu hakunaga Rais mwenye Uwezo huo. Rais hupelekewa orodha na yeye huenda akawa anawafahamu baadhi tu hivyo wanaotengeneza orodha ndio...
Back
Top Bottom