Huwa sielewe kwa kweli. Hasa nikiangazia teuzi za mawaziri. Unakuta leo waziri yupo wizara hii, kesho kateuliwa kule na keshokutwa kaletwa huku. Na kila unapomwona kwenye wizara mpya anaongea kama alikuwa hapo miaka kumi iliyopita.
Kuna wakati Bashungwa alikuwa waziri wa viwanda. Siku alialikwa...
Mchambuzi nguli wa Magazeti Maulid Kitenge amesema katika fyekafyeka ya Mawaziri bado Mmoja
Kitenge ameuliza: Ni nani huyo?
Source: Wasafi media
Mlale Unono 😀
Ilikuwa unamsikia Suleiman Kumchaya au Jacob Tesha kwenye Taarifa ya Habari RTD kwamba Rais Nyerere amemfuta kwenye Baraza la Mawaziri Waziri Naniliu
Hapo Ndio upekuzi wa Sukununu unaanza kufuatilia huyo Waziri kafanya kosa gani
Siku hizi Mawaziri Wana makandokando kibao kiasi kwamba...
Ni lini tumbua tumbua zilibadilisha hali ya Taifa? Zaidi ya watu wenye chuki na hao viongozi kuwa na furaha.
Hakuna proper procedures na vetting katika uteuzi, hivyo hata tenguzi tenguzi hazina tija wala manufaa kwa taïfa.
Ogopa matapeli, ni kipindi cha uchaguzi, huwa wanaangalia ni kitu gani...
Naona mama anapiga katafunua kali kali sana, yaani hii ndio "ubaya ubwela" kwa rangi zake, nadhani amepiga miksa na kurujuani ya Mzee Magoma, yaani hata aliyewaza kama Maharage, aliyeshiriki, anakula za uso. Hakopeshi, unapiga tukio, anakupiga tukio, ukiweka ugoko, anaweka jiwe, n'gadu kwa...
Kwanza kabisa lazima tujiulize je serikali hii ina mpango wa kupunguza matumizi yasiyo na ulazima wowote au yenyewe Haina huruma na pesa za walipa Kodi, Kwasababu action za serikali zinaitia hasara serikali pakubwa sana. Jamani hasara za riba ya mikopo ningedhani yatosha , kumbe bado tuna hasara...
Hapo zamani za kale, miaka zaidi ya 4000+ iliyopita katika nchi ya Israel walipewa agizo. Agizo hilo la kuwatenga wakoma mbali na Kusanyiko la wana wa Israeli.
linapatikana kitabu cha Hesabu 5:2 Waamuru wana wa Israel wawatoe watu wote wenye magonjwa ya ngozi yanayoambukiza, na kila mwenye...
Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Viongozi kama ifuatavyo:
1. Amemteua Bw. Kenan Laban Kihongosi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu. Kabla ya uteuzi, Bw. Kihongosi alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Momba. Bw. Kihongosi anachukua nafasi ya Dkt. Yahaya...
Ni akina nani wanahusika na suala la kufanya vetting?
Rais anateua mtu ndani ya muda mchache anamtengua, mara kadhaa makosa haya yanajirudia. Rais anapewa mtu ambaye sio sahihi.
DC wa Sumbawanga alifanyiwa vetting? Diwani Athumani alipotolewa Idarani na kupelekwa Katibu Mkuu Ikulu uteuzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.