Habari kamili hii hapa
Mtangazaji Burton Mwemba, maarufu Mwijaku ameishauri Serikali kuona umuhimu wa kuwa na mfumo mzuri wa kuangalia aina ya upatikanaji viongozi kwa baadhi ya nafasi hasa zile za kuteuliwa na Rais au taasisi fulani.
“Kumteua mtu lazima kuwe na utaratibu wa aina mbili...
Kumekuwa na mabadiliko ya mara kwa mara katika nafasi mbalimbali Serikalini. Lakini wananchi wamekuwa wakiwashangaa wanarudishwa katika nafasi walizoondolewa kutokana na uadilifu au uwezo wa wahusika.
Je ina maana hakuna wengine waadilifu hadi walioondolewa wanarudishwa tena?
Au kuna maigizo...
Huwa sielewe kwa kweli. Hasa nikiangazia teuzi za mawaziri. Unakuta leo waziri yupo wizara hii, kesho kateuliwa kule na keshokutwa kaletwa huku. Na kila unapomwona kwenye wizara mpya anaongea kama alikuwa hapo miaka kumi iliyopita.
Kuna wakati Bashungwa alikuwa waziri wa viwanda. Siku alialikwa...
Ilikuwa unamsikia Suleiman Kumchaya au Jacob Tesha kwenye Taarifa ya Habari RTD kwamba Rais Nyerere amemfuta kwenye Baraza la Mawaziri Waziri Naniliu
Hapo Ndio upekuzi wa Sukununu unaanza kufuatilia huyo Waziri kafanya kosa gani
Siku hizi Mawaziri Wana makandokando kibao kiasi kwamba...
Ni lini tumbua tumbua zilibadilisha hali ya Taifa? Zaidi ya watu wenye chuki na hao viongozi kuwa na furaha.
Hakuna proper procedures na vetting katika uteuzi, hivyo hata tenguzi tenguzi hazina tija wala manufaa kwa taïfa.
Ogopa matapeli, ni kipindi cha uchaguzi, huwa wanaangalia ni kitu gani...
KWa sasa Mada kuu ni Tengua hamisha, Tengua badilisha, tengua, teua, tengua baada ya mwezi tengua.
Nchi za Ulaya Mashariki baada ya kuanguka kwa Ujamaa zilijikuta katika hali mbaya ya kiuchumi na kushindwa kutoa huduma muhimu kwa raia wao. Hii ilitokana na kuwa hawakuwa na maendeleo makubwa...
Mwanzo walikuchukulia poa, kwa sababu ya huruma ya mama wakadhani wanaweza kufanya mambo with impunity.
Sasa unavyowanyoosha namna hii unatuma meseji kwa umma kuwa rais sasa hacheki na "kima". Hii inaleta heshima, watu wanakuona kuwa uko serious.
Tatizo la kuleta ushkaji, umazoea...
My Take
Cheo ni dhamana, maisha yaendelee 🙏🙏👇👇
===
Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi, utenguzi na uhamisho wa viongozi mbalimbali. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt, Moses Kasiluka, viongozi hao ni kama...
Hapo zamani za kale, miaka zaidi ya 4000+ iliyopita katika nchi ya Israel walipewa agizo. Agizo hilo la kuwatenga wakoma mbali na Kusanyiko la wana wa Israeli.
linapatikana kitabu cha Hesabu 5:2 Waamuru wana wa Israel wawatoe watu wote wenye magonjwa ya ngozi yanayoambukiza, na kila mwenye...
Ushauri wa Bure kwa Waajiriwa wote wa Serikali hasa wale wa Vimemo vya Uteuzi kutoka Kurugenzi ya IKULU kuweni makini zaidi pengine kuliko awamu yoyote ya Uteuzi wenu.
Huenda Rais Dkt Samia Suluhu amegundua wanaomuagusha na kumfelisha kwa kumuibia na kumfisadi zaidi ni...
Tanzania na Afrika kwa ujumla hatuna tabia yakukiri kushindwa au kukosa uungwaji mkono. Tumejaaliwa kiburi kinachoambatana na kujipendekeza.
Mawaziri kama Januari Malamba na Nape Nauye wameaminiwa sana kwenye wizara mbalimbali. Wakati wakiwa kwenye uwaziri walimwita Mhe. Rais Mama na siyo Rais...
Mara baada ya kuanguka kwa Umoja wa kisoviet, mataifa mengi ya Ulaya Mashariki yalikuwa bado na mentality za Ujamaa na sasa ikabidi wawe wanatafuta mbinu za kuwapumbaza Raia wao na siku zinasongo Mbele.
Mara baada ya kuwa hawana kitu cha maana cha ku ofer kwa raia wao, au hali ni Mbaya, Kodi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.