uteuzi septemba 25

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. UTEUZI: Rais Samia afanya uteuzi wa Wenyeviti wa Bodi za TTCL, ATCL, NARCO, POSTA, UCSAF na TEMDO | Septemba 25, 2024

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Wenyeviti wa Bodi mbalimbali. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka walioteuliwa ni kama ifuatavyo: i. Bw. David Chimbi ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…