uteuzi serikalini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    Kwani kuna Cheo chochote kile Mtangazaji Babie Kabae anakitaka ndani ya Serikali ya Rais Samia?

    Manake si kwa Kujikomba na Kujipendekeza huku. Mara amuite Malkia mara ampe Sifa zingine za Uwongo na Ukweli hadi Rais kamshtukia na kamkata Maini kabisa kwa kumwambia kuwa ampumzishe kidogo kwa Maswali atayajibu baadae (mbeleni) kwani kuna matukio anataka kuyaona baada ya Treni kufikia Pugu...
  2. ubongokid

    Uzi Maalum kwa Wanaotamani Nafasi za Uteuzi Serikalini

    Habari za Wakati Huu; Kwanza Kabisa niseme tu kwamba Hii habari/hali ya kusikia na kuona sura na majina yaleyale katika nafasi za UTEUZI nafikiri inachangia PIA katika kudororesha Utendaji Serikalini na kuondoa Uwajibikaji.Kwa kuwa majina ya TEUZI na Tenguzi hupelekwa kimya kimya na kutangazwa...
  3. Chachu Ombara

    Rais Samia afanya uteuzi na mabadiliko ya watendaji wa Serikali. Zuhura Yunus aondolewa Ukurugenzi wa Mawasiliano Ikulu

    Rais Samia afanya uteuzi na kufanya mabadiliko ya watendaji wa Serikali. --- Zuhura Yunus, aliyekuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu, na Felister Mdemu, aliyekuwa msaidizi wa Rais katika Maendeleo ya Jamii, ni miongoni mwa viongozi walioteuliwa kushika nafasi mpya. Petro Itozya, aliyekuwa...
  4. ESCORT 1

    Nani hufanya vetting pindi Rais akihitaji kupata kiongozi?

    Ni akina nani wanahusika na suala la kufanya vetting? Rais anateua mtu ndani ya muda mchache anamtengua, mara kadhaa makosa haya yanajirudia. Rais anapewa mtu ambaye sio sahihi. DC wa Sumbawanga alifanyiwa vetting? Diwani Athumani alipotolewa Idarani na kupelekwa Katibu Mkuu Ikulu uteuzi...
  5. M

    Ijue siri na sababu za malalamiko ya Teuzi kwa hoja za Udini katika Awamu hii ya Sita

    Tangu Rais Samia aingie madarakani amefanya teuzi nyingi tu na katika teuzi hizo wapo watu wamekaa standby kuangalia majina ya Kizungu (isomeke Kikristo) na Kiarabu (isomeke Kiislamu) ili waone kuwa watu wanaoendana nao kiimani "wameula" zaidi au la! Nataka nieleze sababu za hivyo: 1. Mosi...
  6. U

    Majukumu ya Kafulila ni kumsaidia Mwigulu Nchemba

    David Kafulila ameteuliwa Kuwa Kamishna Idara ya Ubia kati ya sekta ya Umma na sekta Binafsi ambayo ni miongoni mwa Idara za Wizara ya Fedha na Mipango. Majukumu ya Idara ya PPP: 1. Kusimamia, kuchambua na kuzishauri Mamlaka za Serikali katika uanzishwaji, uchambuzi na utekelezaji wa miradi ya...
  7. Bujibuji Simba Nyamaume

    Je, kukataa uteuzi wa Rais kunaweza kuchukuliwa kama uhaini?

    Kuna baadhi ya kada huapa kiapo cha utii kwa Rais. Je, iwapo ikatokea mtu mwenye kiapo hiki amegomea uteuzi alioteliwa na Rais, je anaweza kuchukuliwa kama mhaini?
Back
Top Bottom