nimeliona hili baada ya kuteuliwa hawa jamaa na je,hii presidency decree itakaa kwa muda gani?huwenda ni kwa mwaka mmoja but after election wamasai wanarudi kwenye maandamano.
but all in all,CCM wana wajinga wengi wa kufikiri,
Na kwa vyovyote vile watakuwa wakifanya kazi kwa tahadhari kubwa na inapobidi "kumzunguka" watamfanya hivyo.
Tatizo kubwa ni ukosefu wa subira pale mteuzi anapopokea umbea wa mteule. Anakurupuka kutumbua, halafu baadaye sana ndiyo anakuja kugundua kuwa aliingizwa chaka.
Lukuvi na Kabudi japo...