Kwa mfano Prof Kabudi, mh Lukuvi nk wamerejeshwa na Nape Nauye, Angela Kairuki, January Makamba nk walirejeshwa na sasa wametumbuliwa tena
Kuna Siri gani katika kuwaamini Mno Watendaji wa Shujaa Magufuli?
Mtanikumbuka ππ
Mlale Unono π
PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - CHADEMA: Tutafungua kesi dhidi...
Na kwa vyovyote vile watakuwa wakifanya kazi kwa tahadhari kubwa na inapobidi "kumzunguka" watamfanya hivyo.
Tatizo kubwa ni ukosefu wa subira pale mteuzi anapopokea umbea wa mteule. Anakurupuka kutumbua, halafu baadaye sana ndiyo anakuja kugundua kuwa aliingizwa chaka.
Lukuvi na Kabudi japo...