Salaam, Shalom!!
Kusaini mikataba inayohusu nchi kunahitaji Umakini wa Hali ya juu, mikataba yenyewe ni very technical na inahitaji muda kuusoma na kujua hila za vifungu vya mikataba vinavyoweza kuiumiza nchi yetu,
Sasa viongozi wetu wameonyesha hawana Umakini wowote, maana kiutaratibu...
Kuteuliwa kwa marehemu Milton Lupa kuwa DED huko Kilolo Iringa kumeleta tafsiri tofauti vichwani mwa watu. Je, waliopo hai nafasi hawapewi, wanapewa marehemu?
Au walio hai hawatoshi au hawafai?
Serikali imekaa kimya bila kulitolea ufafanuzi jambo hili.
Milton Lupa amefariki juzi kwa ajali ya gari Morogoro. Leo anasomeka mkeka wa uteuzi.
How comes? Hivi Katibu Mkuu Kiongozi umeruhusuje huu mkeka kutoka na makosa haya?
Pia, soma=> Rais Samia afanya uteuzi na mabadiliko ya watendaji wa Serikali. Zuhura Yunus aondolewa Ukurugenzi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.