Habari gani wana jamvi, leo nimekaa nikawa napitia baraza la mawaziri pamoja na sifa za wateule hao katika sekta mbalimbali kisha nikakutana na document moja hivi ikizungumzia mawaziri wa Afya nchi mbalimbali Africa. Nilipomaliza kuisoma hiyo document kwanza nikajiuliza, ni nani aliyeandaa doc...
Huko nchini Kenya, uteuzi wa mawaziri unachukua mchakato mrefu, Hadi Waziri huyo aapishwe.
Hatua anazopitia Waziri huyo baada ya kupendekezwa na Rais kuwa Waziri ni jina lake kupelekwa Bungeni, Ili apitie katika "chekecho" ikiwa nafasi hiyo anastahili na iwapo wabunge hao wataridhika kutokana...
Kwa nini CCM iliupendelea huo utaratibu? Labda una manufaa kwa nchi?
Naamini kungeitishwa kura ya maoni, wananchi wengi, mimi nikiwemo, wangependelea utaratibu wa mawaziri kutokuwa wabunge.
Utaratibu huo ni kuuishi dhana ya kila muhimili kujitegemea.
Wizara ndizo husimamia sera na mipango husika kwa ajili ya maendeleo.
Uteuzi wa mawaziri kwa sasa umejikita sana kuzingatia mikoa, makundi maalaumu kama vijana, wazee ,akina mama na walemavu na wasomi na watoto na ndugu wa vigogo waliopita au waliopo.
Wafanyabiashara wakubwa hawamo wakulima na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.