Mwl. Nyerere aliwahi kusema, "kama CCM ikimtangaza mgombea wake huyo ndiye atakaekuwa Rais". Hivyo alitaka wagombea wa CCM wajulikane mapema ili watu wapate muda wa kuwajua na kuwajadili kwa muda mrefu kabla ya kuteuliwa na kabla ya siku ya uchaguzi. CCM wamefanya hivyo alhamdulilah kwa wagombea...
Naona mambo yanazidi kunoga tu!
===============
Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Iringa kimeonya vikali watu wanaobeza maamuzi ya Mkutano Mkuu wa chama hicho ya kuwateua Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan na Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, kupeperusha bendera ya urais katika Uchaguzi Mkuu...
Haki ya kuchagua (au kuomba kuchaguliwa kuwa) kiongozi ni haki ya msingi ya kila mwanachama wa CCM. Haki hii ni ya kikatiba na kikanuni.
Kwa kawaida, watendaji wa chama hutangaza kufunguliwa rasimi kwa dirisha la kuchukua, kujaza na kurudisha fomu za kuomba kugombea nafasi za uongozi (kama vile...
Kuna baadhi ya maeneo wagombea wa CHADEMA wameenguliwa lakani wengine wanafurahia mchakato unavyoendeshwa hadi sasa.
=============
Mwenezi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara, Ambrose Ndege, amepongeza mchakato wa uteuzi wa wagombea wa Uchaguzi wa...
Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Neema Lugangira ametaka maboresho ya vyama vya siasa na chaguzi ziainishe bayana uteuzi wa wagombea ndani ya vyama vya siasa katika nafasi mbalimbali za uongozi.
Ameyasema hayo leo Aprili 25,2023 wakati akichangia makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Katiba...