Habari wana Jf poleni na majukumu ya kazi.
Naomba niende kwenye Maada yangu direct. Kwa kitambo Sasa nmekuwa muhanga wa Ugonjwa huu ninao uona ni wa Ajabu kwangu..,
Mwanzo wa mwaka huu nilipata Homa Kali sana kiasi nilikaa ndani takribani week zaidi bila kwenda Kazini na wakati huu nilipoenda...