habari wana jamvi?
Marehemu hasemwi vibaya wala mauti yakija hayana taarifa na siku yako ikifika bas hakuna wa kuzuia nafkiri hiz kauli tuishi nazo tu katika kujipa moyo chanzo chochote cha janga la kupelekea kifo kinapobainika.
ipo hivi wadau
kumetokea msiba ambapo mama mmoja ni jiran na...