Serikali yaridhia utoaji mimba
* PRO-LIFE yapinga, yamwandikia Kikwete
na Joseph Sabinus
Tanzania Daima~Sauti ya watu
SERIKALI imetia saini kuridhia itifaki za haki za wanawake, ikiwemo ya kuruhusu utoaji mimba nchini.
Tanzania imeridhia mkataba huo, huku madhehebu mbalimbali ya dini...