Kuahirishwa mara kwa mara kwa kesi ni moja ya sababu kubwa za kuchelewa kwa kesi za jinai nchini Tanzania. Hii pia ni moja ya sababu za kuwepo kwa idadi kubwa ya kesi zilizokwama mahakamani, ambazo husababisha watu kucheleweshewa haki zao.
Uhairishaji huo unaweza kusababishwa na sababu kama...