Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amesema kuna mchezo haramu unafanyika kwenye utoaji wa vibali vya kuagiza sukari nchini, na kama wahusika watabisha (watakanusha) tuhuma hizi basi atawataja hadharani.
"Kuna biashara inafanyika na mimi nitataja majina mtashangaa, kuna siku nitataja...
Wasaidizi wako wanakudanganya kwa sababu wanafaidika na “kitu kidogo” Usidanganywe na hao wanaokushauri kuhusu utoaji vibali vya wageni.
Kwanza kazi nyingi humu nchini zinaweza kufanywa na wazawa. Kuna umuhimu wa kua na limit ya wageni ambao kampuni inaruhusiwa kuwaingiza humu nchini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.