utoro

The Otoro language (Utoro, Dhitoro, Litoro) is a Niger–Congo language in the Heiban family spoken in Kordofan, Sudan.
It is also called Kawama (Kawarma). Dialects are Dugujur, Dukwara, Dorobe, Dogoridi.

View More On Wikipedia.org
  1. BARAZA la Madiwani la halmashauri ya Nkasi mkoani Rukwa limewafukuza kazi watumishi wawili wa idara ya afya kwa utoro kazini

    Akitoa taarifa ya kufukuzwa kwa watumishi hao baada ya baraza hilo kujigeuza na kuwa kamati mwenyekiti wa halmashauri Pankrasi Maliyatabu aliwataja Watumishi hao kuwa ni Atanasi Ignas Mgunda Mteknolojia msaidizi na Japhet Masud Kimondo ambaye ni tabibu msaidizi. Amesema kuwa Watumishi hao...
  2. S

    Wabunge wapikiwe chakula wakiwa kwenye vikao vya bunge, na walale kwenye mabweni ya UDOM ili wapunguze ulevi na utoro

    Sote tu mashahidi, mahudhurio ya wabunge siyo mazuri na wanasisnzia sana wakati wa vikao vya bunge. Hii haitokei kwa bahati mbaya, bali inasababishwa na pesa nyingi za posho wanazolipwa wakati wa vikao zinazopelekea wabunge kukesha kwenye uzinzi na ulevi. Tunakumbuka Charles Kitwanga aliwahi...
  3. D

    Utoro wa wabunge bungeni tena bunge la bajeti, tatizo ni nini?

    Habari! Hivi hii tabia ya wabunge kutohudhuria vikao bungeni iliyokithiri, inasababishwa na nini? Huo utoro nadhani madam speaker, bunge limemshinda kabisa au wabunge wengi hawaoni umuhimu wa wao kuhudhuria bungeni yaani kifupi wamechoka au wamekifiwa na kazi ya ubunge. Vikao vya halimashauri...
  4. Kigoma: Nusu ya wanafunzi hawajafanya mtihani wa Darasa la Saba, utoro watajwa

    Hali hii inasikitisha sana, yaani nilidhani Wazazi walishabadilika kumbe Bado watu wanaona Elimu Haina maana hadi leo hii, duu. My Take: Kwa Hali hii, sidhani kama kuna siku wajinga watakuja kuisha hapa Tanzania. ======== KIGOMA; WAKATI wanafunzi wa darasa la saba wakimaliza mtihani wa elimu...
  5. Hatima ya mtumishi aliyefukuzwa kazi kwa utoro kazini akiwa shuleni kwa barua

    Kwenu wanasheria. Mpwa wangu alikuwa chuo akisoma shahada ya pili! Kwenye kile kipindi cha giza alitolewa kwenye ajira kwa kisingizio kwamba alikuwa nje ya kituo cha kazi na kwamba muajiri alikuwa hajui alipo. Amejaribu kufuatilia lakini ngoma ngumu. Japo kuna wadau wanasema anaweza kurudi...
  6. A

    Andiko kuhusiana na suala zima la kudhibiti utoro wa wanafunzi mashuleni

    Utoro wa wanafunzi mashuleni ni tatizo kubwa ambalo linahitaji kushughulikiwa kwa dhati katika suala la utawala bora na uwajibikaji. Tatizo hili linasababisha athari mbalimbali ikiwemo kupungua kwa ufaulu, kuongezeka kwa idadi ya watoto wanaoacha shule na kuathiri maendeleo ya taifa kwa ujumla...
  7. Feitoto ni mtoro, kwanini TFF haikumuadhibu kwa kosa la utoro?

    Kwenye sakata la Fei toto TFF imedhibitisha kuwa FEI ni mchezaji halali wa Yanga. Pamoja na maamuzi hayo ya TFF lakini Fei hajaonekana kazini kwa mwajili wake. Hii ina maana kuwa Fei ameikosea Yanga, TFF na wadau wa mpira. Maswali ni mengi sana kuhusu huyu mchezaji, lakini maswali muhimu kuliko...
  8. Walimu 13 wafukuzwa kazi Bagamoyo sababu ya utoro

    Walimu 13 wilayani Bagamoyo mkoani Pwani wamefukuzwa kazi kutokana na makosa ya utoro huku wengine wanne wakiendelea kujadiliwa kutokana na makosa mbalimbali yakiwemo kujihusisha na mapenzi na wanafunzi pamoja na ulevi uliopindukia katika kipindi cha miaka miwili kuanzia 2020 hadi Septemba...
  9. R

    SoC02 Uwajibikaji sio ushamba ni heshima

    (ANDIKO) KUWAJIBIKA SIO USHAMBA, NI HESHIMA. Kutokana na mfumo wetu wa siasa tumeaminishwa lazima mwanasiasa awe msemaji na kiongozi wako, marehemu Mtikila aliona mbali hasa katika kupambania kuwa na mgombea/kiongozi binafsi asiyefungamana na chama cha siasa. Leo tupo katika nchi ambayo maisha...
  10. Kisa QNET, Walimu 8 wafukuzwa kazi Geita

    By Rehema Matowo Geita. Tume ya utumishi wa walimu wilayani Geita mkoani Geita imewafukuza kazi walimu wanane kwa utoro kazini. Walimu hao ambao sita ni wa shule za msingi na wawili wa sekondari, wanadaiwa kujishughulisha na biashara za Qnet badala ya kumtumikia mwajiri huku wengine wakidaiwa...
  11. Mbinga: Baraza la Madiwani lamfukuza mfanyakazi kwa utoro

    Baraza la madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga limeazimia kumfukuza kazi mfanyakazi mmoja wa halmashauri hiyo kwa kosa la utoro kazini huku likiwapeleka kwenye kamati ya maadili wafanyakazi watatu wa halmashauri hiyo wakiwa na makosa hayohayo. Akisoma maamuzi ya baraza hilo Desdeurius...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…