Hello kuna vitu wazazi walikuwa wanatukataza kabisa kuvifanya na ikibidi ata fimbo utapigwa ila wapi ujaacha
Mimi kula nimelala au nikiwa na kula situlii sehemu moja nitatembea tembea mpaka namaliza kula naweza chukua lisaa kabisa
Kingineni engeezee ni kunywa maji nikiwa nimelala...
The goal haswa ni kukujenga katika upya maana utoto unafanania na una respresent mwanzo.
Jiulize huyu dogo naemuona hapa angefanya unyama huu naotaka kufanya?
Jiulize hivi huyu dogo namtendea haki kweli yeye na wale waliomlea kwa hatua hii ndogo niliofika?
Jiulize hivi huyu dogo angejua kuwa...
Mwanaume ambaye utotoni amedekezwa sana
-Anakuwa na misimamo mikali sana (rigid), mwengine anakuwa legelege sana kiasi kwamba kila kitu anamtegea mama yake na dada zake
-Hawezi kudumu na Mwanamke,kwa maana anakuwa anapenda sana ulevi kupindukia, uvutaji bangi,kutumia fedha nyingi sana bila...
https://feminahip.or.tz/
FEMINA HIP mmepotelea wapi ndugu zetu? Zamani mlitoa elimu kwa vijana juu ya maambukizi ya magonjwa ya ngono, mimba za utotoni nakadhalika. Vijana wengi tulivutiwa sana na Magazine za Femina Hip kwasababu tulifahamu njia zote mbaya za kutuingiza kwenye vishawishi vibaya...
Utotoni ni kipindi ambacho watoto hupokea taarifa mbalimbali, zikiwemo Potofu na Sahihi, na mara nyingi huziamini hadi ukubwani.
Je, kuna Taarifa yoyote uliyoambiwa utotoni inayokupa shaka sasa, na ungependa kupata Uhalisia wake?
Ripoti ya Mei, 2023 ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF), imeonesha jumla ya watoto milioni 640 wa mataifa mbalimbali chini ya miaka 18 wamebainika kuolewa, Tanzania ikiwepo.
Ripoti hiyo imebainisha kuwa katika Ukanda wa Afrika Mashariki na Kusini hali ni mbaya zaidi...
Wasee mko musuri!
Mada iko open, taja mambo unayoyakumbuka makubwa ya kipekee uliyowahi kuyafanya utotomi mpka wazazi au wakubwa kiujumla wakajivunia wewe.
Nianze namimi.
1. Nakumbuka hili tukio lilitokea nikiwa darasa la tatu kama siyo la nne, nilikuwa chalii sana.
Ilikuwa pumziko saa nne...
Vyombo vya habari vya kimataifa na wanaharakati wa haki za binadamu wameishutumu vikali Iraq kwa muswaada unaojadiliwa na bunge la nchi hiyo unaokusudia kushusha umri wa wanawake kuolewa kutoka miaka 18 hadi kufikia miaka 9.
Wanaharakati wa haki wanasema muswaada huu ni mbovu mno na huku ni...
Nilisema ndoto ina definition tofauti. Moja kati ya definition za ndoto ( my personal definition) ni : 👇
Ndoto ni ' kioo cha kiroho' kinacho tumika kukuonyesha wewe ni nani katika ulimwengu wa roho.
Kwa maana ya kwamba unayoyaona kuhusu wewe katika ndoto unazo ota usiku ni reflection ya...
Kwa kuwa miaka 40 wanaanza kuhesabu ni mzee, umepevuka, nami nimefika hapa ni muda wa kuwatia moyo wengine kwamba chochote unachokifanya,kifanye kwa moyo na akili yako yote ili kikupeleke hatua ya mbele yenye mafanikio zaidi. Pia nimegundua ukianza biashara hasa za kusafiri nje ya nchi, kubali...
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Songwe, Mhe. Juliana Daniel Shonza amefanya Ziara ya Kata kwa Kata huku akipokelewa kwa shangwe na wananchi wa Kata ya Shiwinga iliyopo Wilaya ya Mbozi Mkoani Songwe.
Mhe. Juliana Daniel Shonza amesema kuwa lengo la ziara yake ni kuelezea Utekelezaji wa Ilani ya...
Eee bwana eeh, stori za mtaa ni noma sana! Basi ebwana, ulikua utotoni kwetu mtoto wa kike mrembo alikua mmoja tu, Leah yule kapisi keupe, si unajua tena sisi wanaume tulivyokuwa tunamuwania. Sasa Leah huyu alikuwa ndo kidume, yeye ndiye anachagua leo rafiki yake awe nani. Na ikifika zamu yako...
UTANGULIZI:
Tanzania inatakiwa kuwa na malengo ya kuwa nchi yenye usawa wa kijinsia na kuheshimu haki za binadamu kwa wote. Moja ya changamoto kubwa ni ukatili wa kijinsia na ndoa za utotoni. Kuondoa changamoto hizi ni muhimu kwa maendeleo ya kijamii na kiuchumi. Katika miaka ijayo, Tanzania...
TANZANIA TUITAKAYO BAADA YA MIAKA MITANO NI KUTOKEMEZA MIMBA Z A UTOTONI NDOA ZA UTOTONI KWA KUANZISHA NA KUIMARISHA MITANDAO YA KIJAMII NA KISHERIA AMBAYO INASHUGHULIKIA UKATILI WA KIJINSIA, KUFUTA HAKI FULANI ZA KIJAMII AU KISHERIA KWA WAHALIFU WA UKATILI WA KIJINSIA, KAMA VILE HAKI YA KUWANIA...
WATOTO WA KIKE WANAOKOSA MALEZI YA BABA WAPO HATARINI KUANZA MATENDO YA NDOA KATIKA UMRI MDOGO NA KUPELEKEA MIMBA ZA UTOTONI
Na Comrade Ally Maftah
KING OF ALL SOCIAL MEDIA
Kwa mujibu wa tafiti mbalimbali inaonyesha kwamba mtoto anayekosa malezi ya baba anakuwa hatarini kupata mimba za utotoni...
Nilipokuwa mtoto kuna wakati nilikuwa naona wazazi hasa baba kama wamezidisha unoko ila kwa sasa ndo nimekuja kuelewa nilikuwa najengwa kuwa mtu bora. Haya hapa makatazo ambayo nilidhani ni ya kinoko kumbe yalikuwa mema sana.
1. Giza likiingia halafu usiwepo nyumbani balaa lake lilikuwa zito...
Wakati wa utoto wetu kila mmoja akiulizwa una malengo ya kuwa nani basi atajibu mwalimu,daktari au mtu fulani.
Malengo yale ni upuuzi mtupu na wala hatutakiwi kuyazingatia kwa sababu malengo yale ni utumwa ambao tujilijapndikizia katika akili zetu.
Tuliyachagua malengo yale kwa sababu ndio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.