Kwa kuwa miaka 40 wanaanza kuhesabu ni mzee, umepevuka, nami nimefika hapa ni muda wa kuwatia moyo wengine kwamba chochote unachokifanya,kifanye kwa moyo na akili yako yote ili kikupeleke hatua ya mbele yenye mafanikio zaidi. Pia nimegundua ukianza biashara hasa za kusafiri nje ya nchi, kubali...