Nakumbuka nilipokuwa mdogo, shule ya msingi nilikwenda kumtembelea ndugu yangu mmoja, alikuwa anafanya kazi kijiji kimoja huko kanda ya ziwa, miaka hiyo.
Baada ya kufika kule kijijini, nikakutana na marafiki wa rika langu; wakawa wananitembeza mtaa kwa mtaa, ili niweze kufahamu mazingira ya...