Ilikuwa ni mwaka 2015 katika kipindi cha Television huko USA kiitwacho "The west Wing". Alan Alda akawa anaigiza kama Rais wa Marekani akiizungumzia Afrika na changamoto zake za kiuchumi.
Kilichonivutia hadi kuandika uzi huu ni kumsikiliza Alan Alda akiitolea Tanzania mfano wa nchi inayoongoza...