Kwema Wakuu,
Za weekend?
Nipo nachanganua hapa. Mfano nikiwa na labda 20,000,000/- nikazitia UTT Kwa riba ya 12% naweza kupata roughly 2,400,000 faida baada ya mwaka mmoja.
Alternatively hizi 20,000,000/- kama kiwanja ninacho nikijenga hata Chumba, sebule na choo Kwa eneo nililoko sikosi hata...