Watu wanasema wachaga wanapenda pesa, ila ukweli na utu wanao sana, sitaki ku generalize kwenye ubaya wala uzuri.
Katika harakati za ujana, nilikua na mahusiano na mrembo mmoja, ni mzuri kweli. Sikua na nguvu ya pesa, yule dada alinikubali zaidi kwa muonekano wangu, aoshee anahandsome boy...