utumbo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Utumbo mpana kuwa mrefu kupita kiasi (dolichocolon)

    Hello wanafamilia, Nimebainika kuwa na tatizo tajwa hapo juu. Hii ni baada ya kuteseka kwa muda mrefu kwa ukavu wa choo, constipation. Katika medicine, tatizo linapokuwa sugu na hatarishi,dawa ni upasuaji unaohusisha kuukata/kuupunguza utumbo. Ninaomba uzoefu kwa mlioona ,kusikia au kupitia...
  2. Njombe: Amuua mwanamke kwa kumtoa utumbo kwa kuingiza mkono wake njia ya haja kubwa kisa Kukataliwa Kimapenzi

    Bwana Baltazar wa Njombe amemtoa mwanamke utumbo Kwa kuingiza mkono wake kwenye haja kubwa kisa kunyinwa papuchi. Haijaeleweka kama marehemu alikula hela zake au laa ila Polisi wamemtia nguvuni Kwa mahojiano zaidi. -- Polisi mkoani Njombe inamshikilia Baltazari Sonyonda (33) mkazi wa Kijiji...
  3. U

    Kuhani astahili pewa mkono, mashavu mawili na utumbo kwa kila sadaka ya ng' ombe inayoletwa madhabahu ya Bwana , tusiwaseme vibaya watumishi wa Bwana

    Wadau hamjamboni nyote? Hayo siyo maneno ni nukuu kutoka maandiko matakatifu Muache kuwasema vibaya watumishi wa Mungu Niombe tupigw hesabu kama ni Hela zinatolewa kama sadaka Kwa Kanuni hiyo hapo juu kuhani atastahili kupata asilimia ngapi ya sadaka Niwatakie sabato njema 1 Makuhani...
  4. Biashara ya utumbo wa kuku Dar inahatarisha Afya za Walaji, Mamlaka chukueni hatua

    Katika Jiji la Dar es Salaam ambalo kwa mujibu wa Sensa ya Watu na Makazi wapo wakazi zaidi ya Milioni sita, shughuli mbalimbali za kibiashara zimekuwa zikifanyika kama sehemu ya Watu kujipatia kipato. Hata hivyo, miongoni mwa biashara ambazo zimekuwa zikifanyika nyingine uibua wasiwasi na...
  5. Supu ya utumbo na makongoro ya kitimoto

    Nyumbani kwenu wakichinja kamwananguruwe kisha ukakutana na supu ya matumbo yake na miguu utaigonga?
  6. L

    CPA ya Issa Masoud Simba ichunguzwe kwa kuongea pumba, utumbo, ujinga na kukosa weledi

    Jana usiku, nilikuwa mmoja wa watu niliobahatika kuona mahojiano ya baadhi ya wajumbe wa bodi ya wakurugenzi wa Simba kwenye social media moja, nilisikiliza sana hoja za mjumbe anajiita CPA Issa Masoud Simba. Ndugu zangu, taaluma ya CPA inayotolewa na NBAAA sio mchezo, hii ni body ya wakaguzi...
  7. Nini kimesababisha kifo cha Edward Lowasa? Kenya wadai ni saratani, Tanzania wanasema ni ugonjwa wa mapafu, shinikizo la damu, na utumbo kujikunja!

    Chanzo cha vifo vya viongozi wetu huwa kinaleta mkanganyiko, sasa ni kuhusu nini hasa kimesababisha kifo cha Lowasa.
  8. Vidonda vya tumbo kwenye utumbo mdogo

    Vidonda vya tumbo vilivyopo tumboni (tumbo la chakula) na vile kwenye utumbo mdogo tofauti yake ni nini? Kwa wanaojua tafadhali naombeni kujua wakuu.
  9. P

    Mamalishe wanatumia dawa ya Panadol kunogesha mapishi

    Utumbo, uwe wa mbuzi au wa ng’ombe kwa asili ni mgumu, hivyo kuhitaji muda wa kutosha wa kupika ili uive. Baadhi ya watu katika mapishi ya utumbo, hutumia viungo kama vile tangawizi, limao, papai bichi, siki na ajinamoto ili kuufanya uive mapema. Wapo pia wanaotumia sufuria isiyoruhusu mvuke...
  10. Nchi ambazo zina demokrasia hafifu na jeshi ambalo halina nguvu ya kuifanya ikulu kwa nchi husika zisifanye utumbo ni hatari kwa ustawi wa nchi husika

    Wasalaam nyote, Inapotokea nchi baadhi zina demokrasia hafifu na jeshi lisilo na meno wala utisho, wala hakuna supreme organ ya kuinyosha ikulu basi wanasiasa hata wapesi kama manyoya wanajifanyia watakavyo, ni hatari sana kwa ustawi wa mataifa husika. Triple S, yaani strategic state security...
  11. Huu mfumuko wa bei unatuumiza zaidi sisi majobless.

    Nimestaajabu leo nimeenda dukani kwa Kimario hapa Lumo ananambia embassy moja ni 300 wakati me najua ni 250 tu. Nilikua na buku nimekula miguu, utumbo na vichwa vya kuku nikabaki na 250, naenda dukani nipate embassy naambiwa ni 300, imeniuma sana.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…