Tangu kuanzishwa kwake, Tume ya utumishi wa mahakama imekuwa ikiajiri mahakimu kwa kufuata utaratibu wa michujo na kuwachagua wale waliofuzu kwa vigezo stahiki kupitia tangazo maalumu na la wazi.
Lakini tarehe 20 Septemba 2024 Jaji Mkuu wa Tanzania, aliwaapisha mahakimu 22 ambao baadhi yao...