MAMBO YA KUFIKRIKA YALIYOPO DUNIANI NI YAPI?
Kuna mambo mengi sana ya kufikirika yameundwa na kupewa uhai ambayo yanaleta ugomvi mwingi kwa watu hapa duniani. Katika masomo yangu haya niliyoyaanzisha ya kujitambua, kuna watu watajifunza na kufunguliwa nafsi zao na kuwa huru.
Baadhi ya mambo ya...
"TUNAONA TAABU SANA KUUNGANA KUMKABILI MWENYE NGUVU. WENYE NGUVU WANAUNGANA KUMKABILI MNYONGE," Mwl. Nyerere
Kama ningekuwepo wakati wa Mwalimu Nyerere, ningemuuliza swali hili: Ni rahisi kwa kiasi gani kwa Mwafrika kumwamini Mwafrika mwenzake katika dola, ili waweze kuungana?
Kwa sababu...
Huu mchoro kwy ukuta wa Shule ya Upili ya Ben Mkapa una maana gani, muktadha gani na mantiki gani kwa ustaarabu wa zama hizi. Je, siyo dhalili kwa utu wa binadamu hususan weusi?
Angepiga mzungu picha kwenda kuanika kwao kuonyesha jinsi tusivyofaa sote tungempigia makofi lakini nikipiga mimi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.