utumwa wa kisasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Masuala fikirishi katika bara la Afrika

    "TUNAONA TAABU SANA KUUNGANA KUMKABILI MWENYE NGUVU. WENYE NGUVU WANAUNGANA KUMKABILI MNYONGE," Mwl. Nyerere Kama ningekuwepo wakati wa Mwalimu Nyerere, ningemuuliza swali hili: Ni rahisi kwa kiasi gani kwa Mwafrika kumwamini Mwafrika mwenzake katika dola, ili waweze kuungana? Kwa sababu...
  2. Kuna Haja ya Mataifa Kuzidisha Mapambano Dhidi ya Usafirishaji Haramu wa Binadamu

    Hivi karibuni matukio ya usafirishaji haramu yameonekana kuzidi kushika kasi na kuibuka katika mazingira ambayo watu wengi wasingeweza kudhani. Makala ya hivi karibuni iliyorushwa na kituo cha televisheni cha BBC ilionesha jinsi baadhi ya watu wenye ulemavu wanavyorubuniwa na kupelekwa nchini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…