Nimekaa chini nimewazaaaaaa nimeona ifike mahali sasa nitulie nitakuja kukutana na mavampire ninyonywe damu nife,
Nilikutana na huyu mtu kitambo ila tulikua tuna flirt haikua ile serious,
Jana bhana katika kuchat chat nikamwambia mgongo unauma akasema niende kwake akanifanyie massage, kwa tamaa...