Hellow Tanganyika!
Uharibifu wa mazingira ni mkubwa Kanda ya Ziwa, Nia ni njema kuruhusu wachimbaji WADOGO, ila usimamizi wa karibu ni muhimu.
Serikali chini ya wizara ya madini itengeneze centers za kuchakata udongo na mawe yenye dhahabu mchimbaji mdogo alipie gharama.
Huu uholela wa...
Wanabodi,
Kabla ya kuendelea mbele ningependa kuwapongeza CHADEMA kwa kuandaa na kushiriki kwenye maandamano. Pamoja na CCM kutumia nguvu nyingi kuzuia lakini mlijitahidi sana kufikisha ujumbe wenu kwa serikali.
Leo nilikuwa napitia ilani yenu ya 2020 kwa mara nyingine na nigewaomba pale...
Wanabodi,
Uchaguzi umekaribia. Tunajua CHADEMA watakuja na sera zao Katiba mpya meanwhile CCM watakuja na sera zao za jinsi walivyonunua madege, kujenga flyover na SGR.
Lakini kwanini, vyama hivi havizungumzii kuhusu masuala ya utunzaji wa mazingira na mabadiliko ya tabia ya nchi hasa katika...
Utunzaji wa mazingira na maliasili zetu kwa kizazi kijacho.
Serikali kwa ujumla imekuwa ikiweka mikakati mbali mbali na uundwaji wa sera zitakazowezesha utunzaji wa mazingira na maliasili tulizonazo na kwa hakika wana mipango na sera nzuri japo changamoto kubwa ikionekana kuwa ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.