Taarifa za matibabu ni miongoni mwa nyaraka nyeti zaidi kwa mtu yeyote. Kuweka salama taarifa za mgonjwa ni sehemu muhimu ya kudumisha uaminifu wa mgonjwa, na pia kulinda utu na heshima yake.
Katika mlolongo wa kupata matibabu wakati fulani mgonjwa analazimika kufichua taarifa zake binafsi...