Daah baadhi ya hawa wenzetu ni changamoto sana kwenye utunzaji vyombo vya usafiri hasa gari ya nyumbani.
Wanachokijua ni kuwasha gari na kutoka nalo mkuku.
Maadam wese lipo yeye anachojua ni kuwasha gari na kusepa.
Huko mabarabarani saivi wao ndo wanaongoza kwa mbio na hapo hana habari...